Mtandao wa tigo - halichachi

Mtandao wa tigo - halichachi

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"?

NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!!
 
Au wameisitisha kwa muda nini au kuna namna nyingine ya kujiunga
 
Jaza Ujazwe imechukua nafasi. Halichachi quechney!...
sasa hii jaza ujazwe naipata kwenye menu au?
maana hapa naona
OFA MAALUM
MIniKabang
tigo - tigo Xtreme
vifurushi vya kimataifa
internet vifurushi
 
Back
Top Bottom