Mtandao wa Tigo ni kero

we acha tu, hii mitandao kwakwel ni janga
Tigo ishakuwa shirika la upigaji na wanapata hela sana. 2500 X watu 70,000 wanahela nzuri. Juzi kati walitembea na hela yangu ila nikasemehe. Halotel nimeweka vocha ya buku wakapita nayo wakanibakizia 619. Niliudhika sana siku hiyo. Pole sana
 
Wanaiba Siku hizi vifurushi wanaiba ukiweka tu muda kidogo wanakuwa wameishakomba
 
Siku hizi kuna wizi Mkubwa Sana kwenye tigo upande wa vifurushi
 
Wiki ya 2 sasa tangu niombe Tigopesa statement wakasema watatuma kwenye mail baada ya 72 hours,
Nikawauliza masaa 72 mbona ni Mengi sana?
Kwa statement ya Januari hadi October tu?!

Sasa hayo masaa 72 yaliisha tangu wiki ilopita hadi leo zaidi ya wiki majibu hakuna !

Kwa bahati tulikuwa tunahitaji na line ya Airtel, Airtel baada baada ya 72 majibu yalipatikana lakini walikataa kutuma kwenye mail hadi mtu uyafate eti!

Kwa ujumla hii mitandao ya simu ina matatizo sana!

Yaani kupata statement tu insshindikana?

Eti masaa 72 [emoji87][emoji87] basi maendeleo tutasubiri sana aisee

Tigo mnatuchosha!
 
Nilikuwa postpaid baada ya muda mfupi bundle imeisha wakati sinaga matumizi makubwa, mikahama nikaamua kurudi nyumbani kinogile
 
Yaan we acha tu
 
Kuna kipindi haya makampuni ya simu yalikuwa yanapigwa faini kwa kukiuka taratibu za mawasiliano, nafikiri saa hizi yameanza kutoa rushwa kwa wahusika ili yaendelee kupiga hizi buku buku za walalahoi.
 
Hao woote wanaongea utumbo badala ya kuchangia hoja huwa mashoga wa mitandaoni mtu analeta hoja tujadili kuna mashoga wanaleta vitu vya kipuuzi
mi nazungumzia jambo ambalo ni lipo siriaz, we unaongea ujinga, kwann mashoga wengi hamna akili,
 
Tigo ni wababaishaji sana. Juzi nimewaomba wanisaidie namna ya kumbana mtu niliyemtumia pesa kimakosa ambapo niligundua baada ya pesa kuliwa. Niliwataka wa-withhold pesa yoyote itakayoingia kwenye namba hiyo ili kufidia pesa yangu. Customer care wakanijibu kwamba hawana msaada kwa pesa ambayo imekwisha liwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…