Mtandao wa Twitter x uko down

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Mtandao wa Twitter x upo down picha azifunguki na kurepost imegoma ukilike inakataa.

Post hazionekani imekaa saa 1 bila kufanya kazi sasa hivi imerudi na inafanya kazi kama kawaida tatizo limeisha.
𝕏 is back up & alive
 
Duuh nimeshangaa sana nikajua ni mm pekeyangu, maana kila nikijaribu kuload posts hazitokei nikahisi labda account yangu imekuwa hacked.!
 
Post ya hovyo kabisa yaani hueleweki unauliza, unatoa taarifa, unalalamika au vipi, mbaya zaidi kabla watu hawajachangia uzi tayari umeshaleta suluhisho.
 
Post ya hovyo kabisa yaani hueleweki unauliza, unatoa taarifa, unalalamika au vipi, mbaya zaidi kabla watu hawajachangia uzi tayari umeshaleta suluhisho.
Haha ila watu wa jf
Hadi saa nne hii bado hujanywa chai?
 
Mtandao wa Twitter x upo down picha azifunguki na kurepost imegoma ukilike inakataa.

Post hazionekani imekaa saa 1 bila kufanya kazi sasa hivi imerudi na inafanya kazi kama kawaida tatizo limeisha.

View attachment 2848845
Kwa uhandishi sahihi ungeweza kusema tu kwenye heading kwamba mtandao wa twitter ulikuwa down kwa lisaa limoja.....

Na sio mtandao wa twitter uko down (Heading) alafu content mtandao wa twitter hauonekani alafu sasa hivi upo sawa ulikuwa down kwa lisaa....

I miss the old days wakati neno moja tu ukisoma unapata content nzima (The good old days)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…