Mtandao wa Twitter x uko down

Mtandao wa Twitter x uko down

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Mtandao wa Twitter x upo down picha azifunguki na kurepost imegoma ukilike inakataa.

Post hazionekani imekaa saa 1 bila kufanya kazi sasa hivi imerudi na inafanya kazi kama kawaida tatizo limeisha.
𝕏 is back up & alive
20231221_100001.jpg
 
Duuh nimeshangaa sana nikajua ni mm pekeyangu, maana kila nikijaribu kuload posts hazitokei nikahisi labda account yangu imekuwa hacked.!
 
Mtandao wa Twitter x upo down picha azifunguki na kurepost imegoma ukilike inakataa.

Post hazionekani imekaa saa 1 bila kufanya kazi sasa hivi imerudi na inafanya kazi kama kawaida tatizo limeisha.

View attachment 2848845
Kwa uhandishi sahihi ungeweza kusema tu kwenye heading kwamba mtandao wa twitter ulikuwa down kwa lisaa limoja.....

Na sio mtandao wa twitter uko down (Heading) alafu content mtandao wa twitter hauonekani alafu sasa hivi upo sawa ulikuwa down kwa lisaa....

I miss the old days wakati neno moja tu ukisoma unapata content nzima (The good old days)
 
Back
Top Bottom