Mtandao wa ulipuaji mabomu Arusha wabainika!!

Ni kweli Watanzania hawahitaji polojo na UWONGO ambapo UWONGO wako pia ulichukua muda mrefu kugundulika kwa sababu ya kutumia jina linalofanana na jina la Mwl. Nyerere huku ukijinasibisha kama wewe ni MTOTO wa Mwl. Nyerere wakati huna mahusiano yoyote yale kifamilia au kindugu na Mwl. Nyerere achilia mbali kuwa MTOTO wa Mwl. Nyerere.

Kama ulijua Watanzania hawapendi UWONGO, kwa nini uliendelea kuwadanganya kwa MUDA MREFU?. Bandiko lako hili limebeba sura zote za mtu ambaye ni HYPOCRITE.

Mtoto wa Mwl. Nyerere anayeenda kwa jina la Andrew Nyerere alipouvalia njuga UWONGO wako ukajikuta huna jinsi nyingine ya kuendelea kuudanganya UMMA wa JF kama wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere na ukaja na STATEMENT baada ya Andrew Nyerere kuanza uchunguzi,

Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.



Watoto wengi wa Mwl. Nyerere hata sura kidogo wanafanana na baba yao, hii ya kwako hata hukuona aibu kama watu wangeilinganisha na sura ya Mwl. Nyerere.
 

Attachments

  • image.jpg
    58 KB · Views: 401
  • image.jpg
    35.7 KB · Views: 399
Wale wenye DVR zao kama zilivyokuwa zikitamba kuwa ni polisi walihusika ni bora wakashirikiana na kuyaweka hadharani sasa ili watuhumiwa wapelekwe kwa pilato.
Mkuu kwa michango yako hapa halafu unakejeli unastahili kutunikiwa shahada ya UPINDA.
 
Watoto wengi wa Mwl. Nyerere hata sura kidogo wanafanana na baba yao, hii ya kwako hata hukuona aibu kama watu wangeilinganisha na sura ya Mwl. Nyerere.

Personal attach is an indicator of Lumumba breed who have graduated in PINDA philosophy.
 

Kikolo connecting the dots is one thing na reality is another!
Sasa malafyale ili ukweli upatikane uwatafadhalishe hao wana kyandima wenzako wautoe hadharani mkanda wao ili mbivu na mbichi zijulikane.
Masuala mengine unayoongelea ni sentiments ambazo kila binadamu anazo lakini sentiments zikizidi hata ukweli mtu huwezi kuuona vizuri. Na bahati mbaya nyie watu wa sehemu unayotoka mnayo hiyo kwa wingi sana.

Sasa basi je ni wewe tu hujui kuwa hata Mwangosi alitonywa juu ya plot ya kule Nyololo, lakini alikaidi?
Sina haja ya kuongea juu ya Ulimboka maana aliingia ndani ya tundu la nyoka akiwa macho wazi.
La kuhuzunisha ni hili la Kibanda, ambalo najua wajua kwamba nani wanahisiwa.
Sasa ndugu yangu ujiulize nani wa kuhurumiwa!!
 
Tunachohitaji ni wahusika kuwetiwa mbaroni...hizi ngonjera za mazungumzo kabla ya habari hazisaidii chochote
 
He! Sikuwa nafahamu kutumia au kumpa mtoto jina la Nyerere ni dhambi kubwa kiasi hicho!
Binafsi sijapata kusoma popote kijana huyu Yeriko Nyerere akijinadi ni wa kutoka familia ya Hayati Mwl. Nyerere kwa hiyo sioni shida yoyote kwake au yeyote yule kuitwa au kumpa jina mwanae la Nyerere na naamini hata Nyerere mwenyewe asingemkataza mtu kumpa mtoto jina lake!
Familia ya Nyerere isiwe overprotective kwa jina hilo kwani kwa umaarufu, uadilifu na msimamo wake na huu mchakato wa utakatifu watazaliwa "Nyerere" wengi tu hapa nchini na
penginepo duniani! Sijui watakwenda Mahakamani kuwazuia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…