Mtandao wa vodacom limebaki jina sasa sio kwa usumbufu wa network

Mtandao wa vodacom limebaki jina sasa sio kwa usumbufu wa network

Exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2021
Posts
1,477
Reaction score
3,642
Sahizi vodacom yamekuwa kama mazoe wanafanya watakavo internet yao imekuwa chini karibia kila siku leo ndo tabu zaidi halafu badae ndo itakuja meseji umemaliza MB zako wakati hata ulichofanya hakipo jana mpesa imesumbua sana
 
Hawa Voda sijui wamekutwa na nini? Yaani ni kero tu. Na tulishakariri kuwa ni mtandao mathubuti sasa tunaisoma namba.
 
Vodacom huwezi fananisha na mitandao mingine hapa nchini.hii ni next level mkuu
 
Sahizi vodacom yamekuwa kama mazoe wanafanya watakavo internet yao imekuwa chini karibia kila siku leo ndo tabu zaidi halafu badae ndo itakuja meseji umemaliza MB zako wakati hata ulichofanya hakipo jana mpesa imesumbua sana
Nina lain ya voda ya chuo Kila baada ya siku moja lazima wanipe MB 500 dakika 30 na SMS 500

I love voda
 
Me nshaichoka,imebaki ya mawasiliano tu.Kwa maana siku hizi sinunui MB mda unaisha na sijazifaidi nzito mno,labda line za vyuo japo kwa tabu.wawe makini basi,wanatutesa.
Eti za vyuo,saa na wenye line za Kawaida ndo tuteseke hivi kweli 😚😚😚😚😚😚
 
Back
Top Bottom