MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nimehamisha hela Jana kutoka Mpesa kwenda benki mpaka Sasa si meseji Wala hela imefika huko ,ukipiga kwenye namba yao ya 100 inakata yenyewe ,WhatsApp wanadai wanashughylikia tatizo ,hakika nimejuta