Mtandao wa Vodacom wajitafakari

Week iliyopita nilipanda bus sasa nikawa na cash kidogo na muda wa kutoa pesa nikawa Sina na gari ndio inataka kuondoka nikaingia hivyo hivyo wakasema utalipa kwa lipa namba ukiwa ndani ya gari Yani nilitaka kushushwa mpesa ilikua inasumbua kila wakati halafu ndio ilikua gari ya mwisho usiku huo na nilikua Nina dharura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…