Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Kuna watu wako x nao walikuwa wanasema hivyohivyo.Wakizimaa JF ntateseka sanaa hiyo mingne wazime tu
Au ni kutokana na issue ya kifo cha Kada....Kuna watu wako x nao walikuwa wanasema hivyohivyo.
Ubinafsi tuu.
account yako kwisha habari yake,Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari.
Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's?
Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania
Situmii simu natumia computer na nina connection ya internet ya kawaida. Ajabu platfoam zingine zinafunguka fresh tu mpaka youtubetupa hiyo simu!
wewe huna madhara kwa wakubwaMbona kwangu unafunguka vizuri tu!