Mtandao wa X Kulikoni?

Mtandao wa X Kulikoni?

Yawezekana Mkuu, kwangu naona mauzauza kwa muda sasa tangu zilipoibuka taarifa za kuuwa mfuasi wa Chadema kila nikijaribu kufungua unabaki unsearch tu baadae huja na majibu ya Retry labda kwa kuwa mimi situmii ile Premium platform
 
Kwa sasa x inanguvu kama mara 2 ya ilivyokuwa jf miaka kadhaa nyuma.2012 mpaka 2020

X kwa sasa ni tishio namba 1
vijana wanatema madini sana
 
Mbona kwangu unafunguka vizuri tu!
 
Back
Top Bottom