Mtàndao wa X umefungiwa na serikali, sasa akina Msigwa, polisi and thir cronies, wanaingiaje ku post Taarifa zao?

Mtàndao wa X umefungiwa na serikali, sasa akina Msigwa, polisi and thir cronies, wanaingiaje ku post Taarifa zao?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?

Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?

20260703_194408.jpg
 
Sisi tupo serikalini yanayofanywa bado.Kama internet itazimwa
 
Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?
Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?
Nisaidie mkuu x imegoma kabisa niliflash cm nikafownglod upya basi ku log in ndo mazima haitaki naipataje niweze kuperuzi
 
Telegram pia imepigwa pin
 
Teknolojia ndio ngome ya mwisho ya Uhuru: Katika ulimwengu ambao Vyombo vya Habari vya kijadi (redio, magazeti, TV) vimeshadhibitiwa na Serikali, mitandao huru ya kijamii na mifumo iliyosimbwa (encrypted platforms) ndiyo silaha pekee ya mwananchi wa kawaida kupaza sauti.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari.

8. Kufungia Mitandao ya Kijamii X, JF, Tiktok,
Kuzima Mtando.

9. Kubambikia akina Lissu kesi za Uongo

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA.
 
Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?

Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?

View attachment 3621534
Wanafunga alafu wanaweka taarifa wanategemea wananchi wazione vipi?
 
Ni kama walivyozuia mikutano ya kisiasa halafu bado wanafanya siasa katika mikutano ya kiserekali🐼
 
Nisaidie mkuu x imegoma kabisa niliflash cm nikafownglod upya basi ku log in ndo mazima haitaki naipataje niweze kuperuzi
Jaribu ku-login kwa kutumia website ukiwa umewasha vpn ndiyo njia rahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom