Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

Mwamba huyu hapa...😁😁😁

View attachment 3409718
Inavyoonekana huyu jamaa huu mkutano wake kaufanyia nje ya nchi kwa online. mjanja mjanja huyu. Sie wenye D mbili tumeisoma screen tu tukaelewa.

NB. mzee wa msoga anampoteza mama, kwa maslahi yake ili 2030 wamchomeke Ridhiwan. Mchezo huu tuliosomea Cuba tumeusoma kitambo toka alipopitishwa bila kupingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…