Mtandao X ni mali ya USA kama mali nyingine

Mtandao X ni mali ya USA kama mali nyingine

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kupangiwa mada kama kuwa wapingia wengine ni pesa tu ilivyo nchi za wa kuungwa mkono.
Mbona mada kama hizi mfungi au kuna posho CCM.

Kuna redio Kenya kuhusu hata udukuzi kuwa nywira una majina ya kisanii mfano Diamond na Zuchu au Samia mada mnafuta au kuwa utawala wa CCM.

Kuna siku niliwahi kusema hapa kuwa darkweb ina watu toka Afrika Mashariki

IMG_1355.jpeg


IMG_1381.jpeg

Kuna siku mada zilifutwa kuhusu JF ina kitu kinaitwa kuzibiti
Uzibiti kama Dj

Mnakumbuka kuwa serva zenu kuwa zipo kenya na siku chokozeni pesa zenu tu kwa pesa ya CCM.

Tuje kwenye mada:
Ina maana hapa JF kuna kikosi kizuri sana kufuta mada ndani mods.

Nimeleta mada toka kenya mpaka kuleta imetoka wapi kilicho fanyika kufuta.

Tanpol wana nywira za wasanii na raisi na wenyewe wamesema.
 
Hiyo Radio 47 ya Kenya na Mimi nimeona ile clip , but we wee hapa umeandika nini mkuu
Wakifuta ili ufahamu kuwa usalama wanashugulikia hata mjenga vyoo USA kuuliza kwa nini vyoo hakuna wewe
 
Back
Top Bottom