Ukweli ni kuwa utabibu ni mgumu, hilo tunakubali na tunaheshimu sana taaluma yenu madaktari. Ila kwa watu wanaopenda kushughulisha akili zao zama hizi, kuna mambo mengi mtu anajua, walau theoretically.