GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Karibu sana Abdul Mohamed mjengoni Clouds FM na nakumbuka sana jinsi Mtangazaji mmoja ambaye sasa amehamia E FM alivyokuwa anakuchukia na kukubania hadi ukapata Shavu BBC London na yeye likamshuka.
Na najua umekubali kurudi tena mjengoni Clouds FM kwakuwa mbaya wako IM hayupo tena. Nakukubali mno Kijana na naamini kuwa sasa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra kitabamba zaidi hasa kwa patnership yako na Nguli Alex Luambano.
Karibu tena Tanzania na tulikumisi.