Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi

Kwa nini sasa kamvisha pete? Hao ni mke na mume tayari
 
Halafu shida nyingine ni kwamba unakuta mdada analilia Pete tu kila wakati ni kulia lia huku mwanaume hajajipanga kumuweka ndani basi wanaamua kuwavalisha halafu mwanaume anapita hivi
Inabidi pete ikitua tu kidoleni, mdada fanya process za ndoa fasta, akikinai utamu imekula kwako

Uchumba na ndoa hapohapo sio sijui sijajipanga, tutajipanga ndani humo humo
 
Inabidi pete ikitua tu kidoleni, mdada fanya process za ndoa fasta, akikinai utamu imekula kwako

Uchumba na ndoa hapohapo sio sijui sijajipanga, tutajipanga ndani humo humo
Kweli Kabisa, wabongo sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…