Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kavisha au kavishwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umbea tu umekuzidi... unahesabu hadi wadada waliovalishwa pete na kuhesabu ni miaka mingapi wame-survive na hizo pete bila ndoa!!!Naona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu
Sijui kwanini
Ha ha haUmbea tu umekuzidi... unahesabu hadi wadada waliovalishwa pete na kuhesabu ni miaka mingapi wame-survive na hizo pete bila ndoa!!!
Huna lolote...Ha ha ha
Ni mashost zangu ndo maana, na huwa wanacomplain, that's y najua
[emoji16][emoji16]mchokozi weweHuna lolote...
Unamaanisha nini?Avishe au avishwe?
Tena ni mchokozi kindaki ndaki!!![emoji16][emoji16]mchokozi wewe
Kivip[emoji15][emoji15][emoji15][emoji849]Tena ni mchokozi kindaki ndaki!!!
uzungu unaharibu sana maadili ya mtanzania.ndoa na mazishi ni moja ta Traditions ambazo zinatakiwa kuwa unchangeable,bjt vijana wa siku wanakengeuka.Pete za uchumba mnavalishana bila hata uwepo wa wazazi?
Unatafuta manenoAvishe au avishwe?
MkuuNaona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu
Sijui kwanini
Raha ya pete ya uchumba uvalishwe siku ya kutolewa mahari na tarehe ya ndoa ishapangwa , ila hizi pete za vichochoroni za uongo uongo sanaWako disappointed na frustrated asee
Huyu Perfecttz nasikia analiwa kibogaHuyu Dozen si nasikia ni MCHICHA PORI??
Inasemekana.Huyu Dozen si nasikia ni MCHICHA PORI??