Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi

Naona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu

Sijui kwanini
Umbea tu umekuzidi... unahesabu hadi wadada waliovalishwa pete na kuhesabu ni miaka mingapi wame-survive na hizo pete bila ndoa!!!
 
Hana hata kid na ana uchumba sugu?
 
Naona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu

Sijui kwanini
Mkuu
Unajua Wewe Mwenyewe Unakosea Sana
Yaani Pete Zinapata Kutu Unatazama Tu
Washauri Waweke Grease Kutoa Kutu!!
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ€©πŸ˜˜πŸ˜‹πŸ˜˜
 
Women are driving me crazy and I'm not planning to put a ring on anyone. Nalea watoto wawili sasa hivi na ndio sababu kubwa wanayotumia kuninyoosha. Wanawake Mungu anawaona. Hivi kwanini mnakuwa difficult kama hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…