Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

mbona povu limekutoka sana tulia dawa ikuingie vizuri acha mapepe

Anayetokwa na povu mimi au wewe? Picha upige mwenyewe kisha uipost facebook kwa watoto wenzio wasiokuwa na staha, wameishupalia unaanza kulia lia na kutokwa povu, na sasa hasira unazihamishia humu JF kwa ID fake wakati ni wewe Salim Kikeke. Pole sana, acha kutumia nguvu kuubwa kujitetea kwa jambo ambalo wala halitakusaidia kwa sababu picha imeshazagaa kila kona!
 
sina muda wa kushindana na mfu kama wewe.
 
Samahani ndugu wajumbe, kidogo nilchelea kufika kwenye huu Uzi....
Naomba kuwasilisha.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Mkuu hivyo vi emoj umedhamilia au ndo sio mwenzetu tena?
Samahani ndugu wajumbe, kidogo nilchelea kufika kwenye huu Uzi....
Naomba kuwasilisha.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Mmemwonea kabisa inaonekana kuna kitu alikuanacho mfukoni wala sio photo shop.
 
Dushelele limemuona miss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamme kupewa urijali ni kudhalilishwa? Alitaka aambiwe jongoo hapandi mti?

On the real though, kwani picha imechakatwa?
 


Salim naye, sasa kwanini hakuvaa chupi mpaka achoreke hivyo? Hizi nyege zingine bwana, yaani kushika mwanamke tu mtu unadinda, si udhaifu huu jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…