Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

ImageUploadedByJamiiForums1418872791.524838.jpg
Huyu ndo Salim Kikeke
 
Wewe ni mpuuzi sana, unamjuwa Salim Kikeke wewe? Labda tu nikuingize shule Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza verified user wa Facebook kama sikosei na mimi niko naye Facebook hajawahi hata siku moja kupost upumbavu kama huu wa kwako.

Wanaopenda kumuelewa Kikeke walike wall yake hii halafu pimeni mimi na huyu member nani mkwekali na nani fekelo.
Matola ni kweli alipost FB ..., mie ni mmoja kati ya niliolike page zake FB

Unabisha hadi kwenye vitu vya ukweli Mpwa
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume pesa Kenge wewe, Wasira ana sura gani? Wewe unaweza kugombea demu na Wasira wakati mwenzako ana mipesa kibao unadhani warembo wanahitaji mwanaume mrembo?

Mh! Sina Hamu Ya Kuichuchuja
Kwani Uzito Wake Utatoboa Chujio!!
 
Hii yawezatokea kwa mwanaume yeyote rijali, hasa wale wasiokuwa na tabia ya kurambaramba maana yake wenye ukame
 
Huo ni upepo, angalia suruali ni nyepesi sana so imeinuka upande wa mbele
 

Huyu jamaa angekuwa mtumia daladala lazima angekuwa bonge la dungadunga.
 
Back
Top Bottom