tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
mi naomba mwenye iyo picha aweke muone jamani,weka hiyo picha mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi naomba mwenye iyo picha aweke muone jamani,weka hiyo picha mkuu...
Hii hapa
jamani hii ni sawa ila tafuteni ile iliosambaa kwenye mtandao wa facebook, ni iyo iyo ila iyo imejaa kumdhalilisha kikekePicha yenyewe ni hii hapa. Yeye aseme kuwa kimewaka home lakini siyo kadhalilishwa!
View attachment 211731
Picha yenyewe ni hii hapa. Yeye aseme kuwa kimewaka home lakini siyo kadhalilishwa!
View attachment 211731
ana kiherehere sana huyu kikeke
......picha iyo ambayo salimu kikeke aliipiga akiwa amesimama na mrembo ambae juzi alitwaa taji la miss dunia,
Mmmhhh...mbona kama...
Alidi....sha
Nae aache kiherehere. Kama kweli ni muislam safi asingekumbatia binti huyo. si maadili ya kiislam. Huyo si dada yake. amejidhalilisha mwenyewe na kibaya zaidi familia yake pia.
Hii hapa
Nae aache kiherehere. Kama kweli ni muislam safi asingekumbatia binti huyo. si maadili ya kiislam. Huyo si dada yake. amejidhalilisha mwenyewe na kibaya zaidi familia yake pia.
uwislamu unakataza kumkumbatia mwanamke???
View attachment 211744Picha yenyewe mbona ya kawaida tu....sana sana inamwongezea ucelebrity......watu wana wivu tu....