Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Nae aache kiherehere. Kama kweli ni muislam safi asingekumbatia binti huyo. si maadili ya kiislam. Huyo si dada yake. amejidhalilisha mwenyewe na kibaya zaidi familia yake pia.
 
Nae aache kiherehere. Kama kweli ni muislam safi asingekumbatia binti huyo. si maadili ya kiislam. Huyo si dada yake. amejidhalilisha mwenyewe na kibaya zaidi familia yake pia.

uwislamu unakataza kumkumbatia mwanamke???
 
Picha yenyewe mbona ya kawaida tu....sana sana inamwongezea ucelebrity......watu wana wivu tu....
 
Nae aache kiherehere. Kama kweli ni muislam safi asingekumbatia binti huyo. si maadili ya kiislam. Huyo si dada yake. amejidhalilisha mwenyewe na kibaya zaidi familia yake pia.

Kwa hiyo kama ingekuwa ni dada yake, then Kiislamu ingekuwa sawa?

Alishakuambia kuwa yeye ni Muislamu safi?

How do you define muislamu safi anayway?

Kitu kidogo tuu tayari mnaingiza udini.

Hivi mkoje nyie Watanzania?
 
Mh! Hapo mbele pako sawa au macho yangu jamani.
 
uwislamu unakataza kumkumbatia mwanamke???

Hairuhusiwi kwa yule ambaye si mke wako. hata kama unapeana mkono hakikisha kiganja chake kimefunikwa kwa nguo/kanga au gloves. Wewe huoni sasa hapo Kikeke amedindisha!!! Hairuhusiwi jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…