Mtangazaji Bhoke wa EATV umezidi kutuonesha kitovu

Mtangazaji Bhoke wa EATV umezidi kutuonesha kitovu

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,791
Reaction score
1,830
Huyu mtangazaji Bhoke wa kipindi cha Dadaz EATV(Channel 5) kiukweli anakera kwa tabia yake ya kutuonesha kitovu pamoja na sehemu ya chini ya tumbo hususani katika zile "jingles"/promo ambazo huwa akionekana akicheza cheza pamoja na wadada watangazaji wenzake wa hicho kipindi.

Kwenye hizo jingles huwa zinaonesha mada inayofuatia kwa siku inayofuatia.

Kiukweli nimekua nikifuatilia hzo jingles/promo na karibia zote utaona mtangazaji bhoke pekee akicheza kwa hisia mikono juu hadi kitovu chake kuonekana na hii ni kutokana na yeye kupendelea kuvaa " vitopu" ambavyo huwa havifuniki hadi chini ya kitovu.

Watangazaji wenzake wa hicho kipindi akina Mwanne,Sarah na Scola sijawahi kuona wakifanya huo upuuzi.

Huo ni ushauri tu kwako Dada Bhoke pamoja na producer wa hicho kipindi isije TCRA wakakifungia kipindi chenu kwa kukosa maadili.

Ni hayo tu
 
woiiii thread haijakamilika bob #picha
 
Pale mwanne ndio at least zmo wengne papai,
 
Back
Top Bottom