Mtangazaji Bhoke wa EATV umezidi kutuonesha kitovu

Mtangazaji Bhoke wa EATV umezidi kutuonesha kitovu

Hii ni kama siasa majitaka.hiwezekani page ya pili hii hakuna picha ya kitovu..ni aibu watu wazima kujadili hewa
 
Sinaga muda wa kuangalia hicho kipindi cha hao Malaya kwanza hakifai kuangalia wanaume
 
Huyu mtangazaji Bhoke wa kipindi cha Dadaz EATV(Channel 5) kiukweli anakera kwa tabia yake ya kutuonesha kitovu pamoja na sehemu ya chini ya tumbo hususani katika zile "jingles"/promo ambazo huwa akionekana akicheza cheza pamoja na wadada watangazaji wenzake wa hicho kipindi.
Kwenye hizo jingles huwa zinaonesha mada inayofuatia kwa siku inayofuatia.
Kiukweli nimekua nikifuatilia hzo jingles/promo na karibia zote utaona mtangazaji bhoke pekee akicheza kwa hisia mikono juu hadi kitovu chake kuonekana na hii ni kutokana na yeye kupendelea kuvaa " vitopu" ambavyo huwa havifuniki hadi chini ya kitovu.
Watangazaji wenzake wa hicho kipindi akina Mwanne,Sarah na Scola sijawahi kuona wakifanya huo upuuzi.
Huo ni ushauri tu kwako Dada Bhoke pamoja na producer wa hicho kipindi isije TCRA wakakifungia kipindi chenu kwa kukosa maadili.
Ni hayo tu
Wow! Kumbe kipindi kina impact mpaka Mzee baba uvumilivu umekushinda! Safi sana! Hua nacheka sana kila nikimskiliza mwa4! Big up dadaz!
 
Hebu weka picha inayoonesha kitovu chake, tuone kama kinafaa kuonekana au kipo kama honi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni wapi uliwahi ona msichana mwenye kitovu kama kibuyu akavaa 'crop top' ? Msichana akiwa mrembo Na anajiamini kwanini asivae akapendeza?? Mtoa mada ana zile hoja za kuvutiwa Na MTU mpaka ameamua kumsifia kiaina! Big up Bhoke! U rock!
 
Back
Top Bottom