Mtangazaji bora anayevutia ukimtizama akisoma Taarifa ya Habari Azam TV na ITV

Mtangazaji bora anayevutia ukimtizama akisoma Taarifa ya Habari Azam TV na ITV

huyo wa itv ni boonge sana,apungue kidogo ingawa ana mguu wa bia,sio kama wengine wana miguu kama kuni ya nyongeza
 
Asha Juma wa TBC, yule anakuwaga na Gabriel Zacharia, pale mi hoi kabisa
 
Saa 2 usiku kupitia Channel 108 UTv Jumatatu - Ijuma! Ivona Kamuntu & Charles Hilary na Baruan Muhuza & Fatma Nyangasa!
Azam tv taarifa yao huwa lini?saa ngapi?
 
Back
Top Bottom