Kipindi cha 360 ni kama kijiwe cha wapiga soga tu, tangu Hudson aondoke waliobaki wamepoteza mwelekeo kabisa! Huyo Ngoma ndio alijisahau kabisa alidhani hicho kipindi ni mali yake binafsi!!Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..
"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa sababu ya uchambuzi wa habari ya afya ya Lissu kwa mujibu wanripoti ya Mbowe kwenye kipindi cha CloudsFm 360, Ruge alimpigia simu @DottoBahemu ambae ndio producer wa kipindi cha 360 na kumwambia kuwa keshawakataza kuongelea habari hizo kwenye hiko kipindi, na hapo hapo alitoa maagizo kuwa Hassan Ngoma amesimamishwa kazi na nafasi yake itachukuliwa na Siza wa kipindi cha Powerbreakfast."
Chanzo:Aliyechambua afya ya Lisu asimamishwa kazi Clouds
ulitaka kusema nini mkuu?....kiukweli sijakuelewa.Ni utaratibu wa kawaida kwa vyombo vya habari kupewa hizo suspension! Lissu huyu huyu aliwahi kutaka niletea issue flan flan mahali way back..Atapigwa bench na atarudi baada ya wiki 3 (Hope so) ni kawaida kwa media houses! mapovu
Kama hujanielewa basi nilichokuandika hakikuhusu we are not on the same page ..Fanya shughuli zingine..sio lazima uelewe kila kitu!ulitaka kusema nini mkuu?....kiukweli sijakuelewa.
Kama ni kweli namshauri haachae mawingu hili muda mwingi afanye mambo yake. Mawingu kuna ng'amba, moshi, kichuguuu na mengine sijui yanaitwae. Yaani kama maji kupwa maji kukaa. Selfish at all timeHassan anamili Chuo wewe hategemei ugali wa ruge.
Sure! Dogo uko makini mno..Caesar ni smart sana!
Clouds nao wapuuziIla habari za Bashite ruksa?
Rutunga M huna jipya we sema nia yako ni kuendelea kumpaisha mgonjwa kwa maslahi ya kisiasa unayoyajua weweKwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..