Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Mmmmh na huyu jamaa anajua kuhoji kwa maswali... Japokuwa majibu ya Sam ni mafumbo na kumumunya
 
Kama ameenda kinyume na matakwa ya muajiri hakuna namna afukuzwe tu ila kama ni kutangaza Habari za Lissu basi ruge aangaliwe kwa jicho la 3.
 
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..

"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa sababu ya uchambuzi wa habari ya afya ya Lissu kwa mujibu wanripoti ya Mbowe kwenye kipindi cha CloudsFm 360, Ruge alimpigia simu @DottoBahemu ambae ndio producer wa kipindi cha 360 na kumwambia kuwa keshawakataza kuongelea habari hizo kwenye hiko kipindi, na hapo hapo alitoa maagizo kuwa Hassan Ngoma amesimamishwa kazi na nafasi yake itachukuliwa na Siza wa kipindi cha Powerbreakfast."

Chanzo:Aliyechambua afya ya Lisu asimamishwa kazi Clouds

Kipindi cha 360 ni kama kijiwe cha wapiga soga tu, tangu Hudson aondoke waliobaki wamepoteza mwelekeo kabisa! Huyo Ngoma ndio alijisahau kabisa alidhani hicho kipindi ni mali yake binafsi!!
 
Ni utaratibu wa kawaida kwa vyombo vya habari kupewa hizo suspension! Lissu huyu huyu aliwahi kutaka niletea issue flan flan mahali way back..Atapigwa bench na atarudi baada ya wiki 3 (Hope so) ni kawaida kwa media houses! mapovu
ulitaka kusema nini mkuu?....kiukweli sijakuelewa.
 
Hassan anamili Chuo wewe hategemei ugali wa ruge.
Kama ni kweli namshauri haachae mawingu hili muda mwingi afanye mambo yake. Mawingu kuna ng'amba, moshi, kichuguuu na mengine sijui yanaitwae. Yaani kama maji kupwa maji kukaa. Selfish at all time
 
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..

"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa sababu ya uchambuzi wa habari ya afya ya Lissu kwa mujibu wanripoti ya Mbowe kwenye kipindi cha CloudsFm 360, Ruge alimpigia simu @DottoBahemu ambae ndio producer wa kipindi cha 360 na kumwambia kuwa keshawakataza kuongelea habari hizo kwenye hiko kipindi, na hapo hapo alitoa maagizo kuwa Hassan Ngoma amesimamishwa kazi na nafasi yake itachukuliwa na Siza wa kipindi cha Powerbreakfast."

Chanzo:Aliyechambua afya ya Lisu asimamishwa kazi Clouds

Rutunga M huna jipya we sema nia yako ni kuendelea kumpaisha mgonjwa kwa maslahi ya kisiasa unayoyajua wewe
Haiwezi kuwa habari mpasuko
Mwacheni mgonjwa jamani apumzike wengine bado tumefunga kwa maombi
Hivi kweli mpaka leo hatuna mambo ya maana ya kuzungumza zaidi ya hili la mgonjwa?
 
Mnapopewa Maagizo na wakuu wenu zingatieni, sasa ataenda wapi sasa na hali inazidi kuwa ngumu.
 
Mmejisahau kuwa mlikuwa juzi mlikuwa mnampiga vita huyo hassan ngoma kuwa anatabia ya kujipendekeza kwa mkulu ili apewe nafasi serekalini?
Nadhani ruge aliwasikia hivyo akatafuta kwenye upenyo akamtolea hapo.
 
Hata radio free africa(RFA)walianza hivo kwa mbwembwe nyingi na ulaghai hatimaye tukawachoka....! Clouds fm your days are numbered.......!
 
Hivi kumbe Hassan Ngoma aliajiriwa!! Nilijua ni mjasiriamali mkubwa
 
Back
Top Bottom