Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Na huyo anaeonekana Clouds 360 ni pacha wa Hassan Ngoma ama? Mange huwa analishwa matango pori naye anapost hivyo hivyo
 
Hii ni hatari aisee yaani kutangaza hali ya afya ya Tundu Lissu inamsimamisha mtu kazi?? Vipi Clouds wanatumika?
Kufanya kazi katika baadhi ya taasisi binafsi inahitaji moyo wa kujikomba kwa Bosi. La sivyo unatimuliwa kazi muda wowote ule.
Huko hakuna haki ya mfanyakazi, Bali ya Bosi.
 
Na huyo anaeonekana Clouds 360 ni pacha wa Hassan Ngoma ama? Mange huwa analishwa matango pori naye anapost hivyo hivyo
atasema Ruge kaona post yake akaona amrudishe kazini ili Mange aumbuke
kuwa mfuasi wa Mange inabid IQ yako iwe chini
 
Huyu mange anavyowahenyesha vijana wetu ni hatari sana,

yaani chanzo cha habari ni mange!!!!!
 
atasema Ruge kaona post yake akaona amrudishe kazini ili Mange aumbuke
kuwa mfuasi wa Mange inabid IQ yako iwe chini
Kabisaa kama anavyojidai eti Makamba na Mwigulu wanaachwa katika baraza la mawawiziri eti wamprove wrong sababu alishasema watatolewa...
 
Hebu geuza shillingi upande wa pili uipeleke dukani kama itakubaliwa au laa
 
Mmejisahau kuwa mlikuwa juzi mlikuwa mnampiga vita huyo hassan ngoma kuwa anatabia ya kujipendekeza kwa mkulu ili apewe nafasi serekalini?
Nadhani ruge aliwasikia hivyo akatafuta kwenye upenyo akamtolea hapo.
Umeongea ukweli mtupu yani alikuwa anapondwa sana, kuwa anapendelea serikali anataka na yeye apewe nafasi.
Ghafla kageuka malaika wanamsifia.
Sema habari za mange sometimes watu wanazibeba kama zilivyo wakati hazina ukweli...
 
Kuna taratibu za kumfukuza mtu kazi, kuna sababu za kumfukuza mtu kazi. Asimame kidete atashinda kesi na atalipwa pesa zake nyingi tu. Ila simshauri kwenda vyama vya wafanyakazi, huko ni majanga hakuna mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…