Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Na huyo anaeonekana Clouds 360 ni pacha wa Hassan Ngoma ama? Mange huwa analishwa matango pori naye anapost hivyo hivyo
Kufanya kazi katika baadhi ya taasisi binafsi inahitaji moyo wa kujikomba kwa Bosi. La sivyo unatimuliwa kazi muda wowote ule.Hii ni hatari aisee yaani kutangaza hali ya afya ya Tundu Lissu inamsimamisha mtu kazi?? Vipi Clouds wanatumika?
atasema Ruge kaona post yake akaona amrudishe kazini ili Mange aumbukeNa huyo anaeonekana Clouds 360 ni pacha wa Hassan Ngoma ama? Mange huwa analishwa matango pori naye anapost hivyo hivyo
Kabisaa kama anavyojidai eti Makamba na Mwigulu wanaachwa katika baraza la mawawiziri eti wamprove wrong sababu alishasema watatolewa...atasema Ruge kaona post yake akaona amrudishe kazini ili Mange aumbuke
kuwa mfuasi wa Mange inabid IQ yako iwe chini
Umeongea ukweli mtupu yani alikuwa anapondwa sana, kuwa anapendelea serikali anataka na yeye apewe nafasi.Mmejisahau kuwa mlikuwa juzi mlikuwa mnampiga vita huyo hassan ngoma kuwa anatabia ya kujipendekeza kwa mkulu ili apewe nafasi serekalini?
Nadhani ruge aliwasikia hivyo akatafuta kwenye upenyo akamtolea hapo.
Kwani ni makosa kutangaza habari za tundu lissu ?Mlitaka vyombo vyake vya habari vifungiwe?? Heri mmoja kufukuzwa kuliko 10 kupoteza ajira
Ndio mkuu wa kitengo cha propaganda cha makamanda huyo.Huyu mange anavyowahenyesha vijana wetu ni hatari sana,
yaani chanzo cha habari ni mange!!!!!
Clouds ndo zao kujipendekeza, walivyovamiwa walijidai kuwa pamoja na wananchi Leo wameota mapembe yatawakuta mengine tu
Hii kauli siyo nzuri kuna watu na heshima zao waliwahi kuitumia na wafuasi wakashangilia, leo hii ukiwakumbusha wanataka kukumaliza kwa matusi kama vile umewatukana...anaemfollow Mange akapimwe akili