Kuna siku yule Bantu wa jahazi alitoa kauli ya kijinga. Hapo hapo nikaacha kusikiliza clouds mpaka Leo.
Tunajua mnamsapoti magufuli lakini msidhani wote sisi ni CCM. Msizidishe mapambio. Inakuwa kero
Kufanya kazi katika baadhi ya taasisi binafsi inahitaji moyo wa kujikomba kwa Bosi. La sivyo unatimuliwa kazi muda wowote ule.
Huko hakuna haki ya mfanyakazi, Bali ya Bosi.