mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
Kibwetele aliua watu hivi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa mkuu! Hii media ni pasua kichwa ya hali ya juu!Clouds ndo zao kujipendekeza, walivyovamiwa walijidai kuwa pamoja na wananchi Leo wameota mapembe yatawakuta mengine tu
ni kweli kabisa mkuuKufanya kazi katika baadhi ya taasisi binafsi inahitaji moyo wa kujikomba kwa Bosi. La sivyo unatimuliwa kazi muda wowote ule.
Huko hakuna haki ya mfanyakazi, Bali ya Bosi.