Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida tunaweza kuiadhibu cloud fm wenyewe kwa kuacha kuwasikiliza. Sikiliza channel ingine
Poleni kwa mipovu, sinema ya ikulu majuzi imebuma, hakuna cha dola milion 300 wala tshs trilion 400!?Ruge Hongera sana
Kutwa Lissu Lissu nani kwa taifa hili!
Mamboengine ujinga mtupu
watanzania wangapi wamelazwa mahospitalini Lissu Kawa nani Hasa!
Hujasikia hizo million 300 zitalipwa kwa Mbowe; mbona unapitwa na habari?Poleni kwa mipovu, sinema ya ikulu majuzi imebuma, hakuna cha dola milion 300 wala tshs trilion 400!?
Tutasema sanaaaa mpaka mpasuke !! Kama mnaweza pigeni risasi Tanzania nzima. Malofa nyie wakuongoza kazi kujaza maprofessor ikulu ili kutengeneza sinema za kulanghai wananchi Pumbavu.....!!!Ruge Hongera sana
Kutwa Lissu Lissu nani kwa taifa hili!
Mamboengine ujinga mtupu
watanzania wangapi wamelazwa mahospitalini Lissu Kawa nani Hasa!
Hassan anamili Chuo wewe hategemei ugali wa ruge.Kila siku anajifanya kushangaa vijana wanaotafuta ajira uku akitoa mifano ya namna ya kuwa mjasiliamari,ili aishi maneno yake naye atumie hii changamoto ya kutimuliwa kama fursa naye awe MUMANTA ajiajiri
Hassan anamili Chuo wewe hategemei ugali wa ruge.
Mimi na baba yako ni timu mange vya kufa mtu na tunahamasisha watu mtaani kwetu wamfolou ...kila nikikatiza town na kukutana mtu katoka dukani kununua simu mparazo ,namuunganishia kifurushi cha intaneti na kumwambia watu wa kuwafollow wa kwanza ni mage...Hivi kuna wanaojiita wanaume huku wakijiita team mange Malaya?
...matokeo yametoka,Kutokujua kitu haaminishi si kweli Kwa sababu hujui la hasha,
Hii lipoti imekaa kiushabiki wa kisiasa Sana nahisi atakuwa kuna kitu kamkosea mwajili wake sio habali ya tundu lisuu ndio sababu ya kusimama I still have a faith with ruge in matter of professional
wewe ndo uache kukurupuka na Wala usidhani kwakua wewe umemfahamu Juzi basi kila mtu kamfahamu Juzi .Una uhakika kama hicho Chuo chake sasa kinafanya vizuri au kinaendelea vizuri? Siku nyingine muwe mnaacha Kukurupuka.