Mtangazaji maarufu wa Times FM, Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM na leo atatambulishwa rasmi.
Watu wengi tuliona tokea mwanzo ikiwemo me muda si mrefu Didah atatua Wasafi hii ni kwasababu Diamond amekuwa na urafiki wa karibu Sana na Didah Shaibu for a long time hata events nyingi za Diamond anamuita Didah kuwa MC ikiwemo ile 40 ya mtoto wa Diamond, Naseeb Abdul Jr iliyofanyika mwaka Jana.
Ukiachana na hilo pia Diamond amekuwa akimuungisha kwa kununua nguo kwa Didah Shaibu mara nyingi hata baadhi ya nguo alizovaa kwenye baadhi ya show ya tamasha lake la Wasafi amenunua kwenye duka la Didah.