Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

Millard Siyo Mjinga aende kwenye aachane na Media Kimataifa kama CMG Aende kwenye Local Media ambayo inasikika mkoa mmoja
dogo skia nikuambie,kwa taarifa yako Millard anaonekana karibia kila siku wasafi head quarters kuna program anafanya kwa hiyo hili la yeye kwenda huko haliwez kuwa jambo la ajabu sana kikubwa ni maslahi....usikariri maisha utafeli.
 
Wafanye usajili ila wakae wakijua,mwakani kila mwandishi wa habari na watangazaji wanatakiwa wawe na certificate ktk field za utangazaji na uandishi wa habari.

Ila Dida cheti anacho kutoka DSJ ,sijajua wengine na Mwakyembe katangaza kuanzia mwakani hamna janja janja kama huna cheti kwenu.
 
Vyeti ni makaratasi tu mkuu watu wanavifyatua magetoni tu kwenye pc
 
Hivi hii ngoma unatakiwa kuwa na certificate au kuanzia diploma
 
Vyeti ni makaratasi tu mkuu watu wanavifyatua magetoni tu kwenye pc
Sawa ila serikali hii siyo ya miaka ya nyuma,nina wanangu kibao wapo kitaa vuguvugu la vyeti bandia liliwawakuta.

Siku hizi janja janja hamna Mwakyembe kasema mwisho 2021 ,22 lazima uwe na cheti.
 
Back
Top Bottom