joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hivi hii ngoma unatakiwa kuwa na certificate au kuanzia diploma
Mwakyembe: Mwisho wa Waandishi wa Habari wasio na elimu kuanzia stashahada Desemba 2021
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe amesisitiza kuwa itakapofika Desemba mwaka 2021 ndio mwisho wa waandishi wa habari wasiokua na elimu kuanzia ngazi ya stashahada kufanya kazi hiyo kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya habari ya Mwaka 2016. Waziri Mwakyembe...