Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

Mbona hujajitaja na wewe.

Kesho unaanza kipindi saa ngapi Juma?

Ili tukuskie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiwekwa wenye roho mbaya sehemu moja hautakiwa kukosa
 
hata yule dada anaemiliki domo chafu anapataman usafini sema tu ndo hivo tena...
 
Hawa jamaa hamna kitu pale ni janja janja na mbwembwe tu hakuna hata anaweza obey professionalism pale .

Mfano take look watangazaji wenyewe ndo kina juma lokole jonijoo.mtuimara [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],,akahhaaaaa !!! wanakera Sana ala fu mbona mbwembwe nyingi Sana then hawana hata vipindi vyenye contents za maana kiviliiie na kuwa serious na Kaz yao .

Labda kwa mbaaali kipindi cha sports arena kidgo nikimuangalia ,Mtu Kama George ambagile,Edo ,yusuph mkule iv na Ahmedi abdalah plus kitenge labda kipindi hichi tu Ila vingine vyoote bado Sana creativity ni zero kabsa .

Na hii wasafi inapata coverage kwa sababu imeundwa kiusanii saniiii hivi watu wameijua simply sio kwa sababu ya vipindi konki labda No! na watangazaji makini No!! Ni kwasababu ya akina diamond,rayvany ,kina lavalava ,mbosso ndo maaana lkn out of that hakuna Cha maana pale ,naona genge la wahuni tu weupe Sana ,,,
Hon.masoud

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
isidingo inaelekea ukingoni mpenzi
 
Me nadhan wangeajiri vijana fresh from school au kutokana na vipaji vyao waonyeshe uwezo wa creativity lasivyo tunaendelea kutengeneza aina ile ile ya vipindi kwenye radio zingine Salama amerudi na kipindi chake cha kuhoji watu maarufu nani anamfikia salama kwa ule uwezo utataka mfananisha Jonijo na Salama kweli
 
Kwani kusoma bei gan mkuu miez 6 tu unaua maisha yanasonga watasoma wakiwa kazini mbona eze tu mkuu relax
Wafanye usajili ila wakae wakijua,mwakani kila mwandishi wa habari na watangazaji wanatakiwa wawe na certificate ktk field za utangazaji na uandishi wa habari.

Ila Dida cheti anacho kutoka DSJ ,sijajua wengine na Mwakyembe katangaza kuanzia mwakani hamna janja janja kama huna cheti kwenu.
 
Back
Top Bottom