Kwa tetesi nilizopata Kuna Jambo kubwa watalifanya tofauti na kutambulishwa kwa Didah shaibu ndomaana promo imekuwa kubwa.Nina taka kujua mwingine ni akina nani Kwasababu toka Jana usiku wasafi wana post kuwa jumatatu kuna tukio kubwa .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh! mbona mambo ni mazitoNa Millard ayo pia
Na Millard ayo pia
Ndo tunasubiliNao utakuwa utambulisho wa ndege
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtangazaji maarufu wa Times FM, Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM na leo atatambulishwa rasmi.
View attachment 1353099
Watu wengi tuliona tokea mwanzo ikiwemo me muda si mrefu Didah atatua Wasafi hii ni kwasababu Diamond amekuwa na urafiki wa karibu Sana na Didah Shaibu for a long time hata events nyingi za Diamond anamuita Didah kuwa MC ikiwemo ile 40 ya mtoto wa Diamond, Naseeb Abdul Jr iliyofanyika mwaka Jana.
Ukiachana na hilo pia Diamond amekuwa akimuungisha kwa kununua nguo kwa Didah Shaibu mara nyingi hata baadhi ya nguo alizovaa kwenye baadhi ya show ya tamasha lake la Wasafi amenunua kwenye duka la Didah.
ommysema TIMES FM kuna sehemu wana feli sana, japo wako Imara ila huwa wanapoteza vipaji vingi sana
Na Millard ayo pia
Hayo ya kwako, watu wanaangalia masrahi.Millard Siyo Mjinga aende kwenye aachane na Media Kimataifa kama CMG Aende kwenye Local Media ambayo inasikika mkoa mmoja