Mtangazaji Farhia Middley wa Redio One na ITV: Wanawake Wanaowaendea Wanaume wao kwa Waganga wa Kienyeji wako sahihi 100%

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"

Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo

Haya Wanaume mnaorogwa / tunaorogwa tuwe Wavumilivu tu tafadhali kwani kwa mujibu wake Dada Farhia Middley ni kwamba Hawaturogi kwa Ubaya ila ni kwa Uzuri tu kwamba tuendelee kuwa Mabwege ( Hopeless ) na Mapopoma ( Fools ) dhidi yao na tusahau kabisa Kuhangaika na Mbunye zingine Tamu kuliko zao.
 
Hayo mawazo yake anayojifichia kwenye wingi 😂....
Aendelee kuonyesha uhalisia wake asaidiwe panapo saidiwa.🏌🏿‍♀️
 
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"

Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo

Haya Wanaume mnaorogwa / tunaorogwa tuwe Wavumilivu tu tafadhali kwani kwa mujibu wake Dada Farhia Middley ni kwamba Hawaturogi kwa Ubaya ila ni kwa Uzuri tu kwamba tuendelee kuwa Mabwege ( Hopeless ) na Mapopoma ( Fools ) dhidi yao na tusahau kabisa Kuhangaika na Mbunye zingine Tamu kuliko zao.
Huyu anaweza waroga hata wenzie huko Ofisini hafai na wawe nae makini in short ni muuaji
 
Nafikiri aliongea mawazo yake binafsi
Ukizingatia kipindi chenyewe kilikuwa ni MAZUNGUMZO ya kifamilia hivyo ungeweza tu kupiga simu ukanogesha kipindi kwa kutoa mawazo yako pia.....
Usinipangie na iwe mwanzo na mwisho sawa?
 
Dah....hahaahaaaahaaaaaa.

Kwahisani ya genta....naona kipindi kitaanza kufuatiliwa sasa ilikupima ubora wa asali tajwa
GENTAMYCINE nikikupa tu Promo au Kipindi chako tegemea Watu wengi Kukufuatilia na Kukifuatilia.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Biblia imetoa ruksa mbili tu za kumuacha mke
1.uzinzi
2.ushirikina
Mwanamke unapomroga mumeo unafanya yafuatayo
1.unampa mganga password ya kuiba tunu za asili za mmeo kiroho.mganga anazama rohoni kufake moyo wake utulie kwa nguvu kule ndan anakuta nyota ya utajiri unadhan ataiacha?? Mwanaume anatulia tuliii ndani ya mwezi anafukuzwa kazi .sasa kaa na huyo jobless mkumbatiane
2.Wewe pia unaakili timamu hutaweza mpenda tena maana kila akionesha kukupenda unajua sio yeye ni madawa.alikiwa akitoka out mcheshi anakutambulisha kwa watu ghafla mkitoka anachukiq watu na marafiki wanakuwa wakwanza kujua kuna shida mahali
3.binadamu pia anakinga zake n'a kwenye kula kula anaotea anakula vyakula vinachomoa uchawi kwa muda asee hiyo siku ikichomoka ndo wale unaonaga wanakata hadi mapanga mke wakati ukiuliza wanaomjua toka utotoni watakwambia huwa sio wa hivo
4.Unakuwa umemfukuza mungu wa quran au biblia kwenye mahusiano yako .hii inakuwa rais wanao kufa vifo vya ghafla (naongea kwa uzoefu)
 
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"

Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo

Haya Wanaume mnaorogwa / tunaorogwa tuwe Wavumilivu tu tafadhali kwani kwa mujibu wake Dada Farhia Middley ni kwamba Hawaturogi kwa Ubaya ila ni kwa Uzuri tu kwamba tuendelee kuwa Mabwege ( Hopeless ) na Mapopoma ( Fools ) dhidi yao na tusahau kabisa Kuhangaika na Mbunye zingine Tamu kuliko zao.
Mmmmmmmmh sasa uliifuata ya nini kama ulikuwa unaiona siyo tamu?
 
Back
Top Bottom