GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wazee wa kuusoma mchezo tokea jukwaani.....Huyu dada kuna kitu kashampa Mzee Haji
Unaona Mzee anavyo controliwa,kifupi Mzee kalamba asaliWazee wa kuusoma mchezo tokea jukwaani.....
Hayo mawazo yake anayojifichia kwenye wingi π...."Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"
Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo
Haya Wanaume mnaorogwa / tunaorogwa tuwe Wavumilivu tu tafadhali kwani kwa mujibu wake Dada Farhia Middley ni kwamba Hawaturogi kwa Ubaya ila ni kwa Uzuri tu kwamba tuendelee kuwa Mabwege ( Hopeless ) na Mapopoma ( Fools ) dhidi yao na tusahau kabisa Kuhangaika na Mbunye zingine Tamu kuliko zao.
Huyu anaweza waroga hata wenzie huko Ofisini hafai na wawe nae makini in short ni muuaji"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"
Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo
Haya Wanaume mnaorogwa / tunaorogwa tuwe Wavumilivu tu tafadhali kwani kwa mujibu wake Dada Farhia Middley ni kwamba Hawaturogi kwa Ubaya ila ni kwa Uzuri tu kwamba tuendelee kuwa Mabwege ( Hopeless ) na Mapopoma ( Fools ) dhidi yao na tusahau kabisa Kuhangaika na Mbunye zingine Tamu kuliko zao.
Dah....hahaahaaaahaaaaaa.Unaona Mzee anavyo controliwa,kifupi Mzee kalamba asali
Asali Ngozi.Huyu dada kuna kitu kashampa Mzee Haji
Usinipangie na iwe mwanzo na mwisho sawa?Nafikiri aliongea mawazo yake binafsi
Ukizingatia kipindi chenyewe kilikuwa ni MAZUNGUMZO ya kifamilia hivyo ungeweza tu kupiga simu ukanogesha kipindi kwa kutoa mawazo yako pia.....
Haji Kibwana keshapewa Asali Ngozi.Unaona Mzee anavyo controliwa,kifupi Mzee kalamba asali
GENTAMYCINE nikikupa tu Promo au Kipindi chako tegemea Watu wengi Kukufuatilia na Kukifuatilia.Dah....hahaahaaaahaaaaaa.
Kwahisani ya genta....naona kipindi kitaanza kufuatiliwa sasa ilikupima ubora wa asali tajwa
ππ Kaamua kumvunja goti Mzee dah,sijui kama kesho kwenye kimasomaso atatoboaHaji Kibwana keshapewa Asali Ngozi.
πππUkiendewa kwa waganga watano, na wanawake tofauti si unachanganyikiwa kabisa
Mmmmmmmmh sasa uliifuata ya nini kama ulikuwa unaiona siyo tamu?"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"