Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

yule wa mbeya nani sijui lengwa hata kuvaa hajui leo kavaa jitisheti baaya lina maandishi andishi halafu chafu aibu kabisa itv kuwa na reporter kama huyu asiejijali...of all somebody Bichwa wa Rwanda ndie ana endosment yangu
Kapokapo tu kazi kutangaza habari za chademaa....
 
Alfred Masakooooo itv!.

Ni Renfred Masako.

Kashastaafu mzee wa watu. Nilikuwa nampenda sana alivyokuwa akiripoti kutoka Dariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisalam-Mimi ni Renfred Masako wa AiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTV
 
Lucy Ogutu akiripoti habari za Mtwara na Lindi huko
 
1-Haya ni maoni ya kipima joto toka kwa wananchi wa Tandale kwa mtogole Mimi ni Ufoo saro
2-Nikiripoti kutoka tarimeeeee mkoani maraaaaa mimi ni Joji maraaaaatu wa Aiiiiiiiiitivi...
3-Kama ingekuwepo mahakama ya soka hapa Tanzania leo taifa staz ingebidi ipelekwe kizimbani... kutoka uwanja wa Taifa dareslamu mm n Hemed kivuyo...wa AITIVi
 
George Maratu hana mpinzani...
Kuna yule jamaa wa tabora sauti yake imekaa "kinoko noko".
Yule Mkurya Mabere Makubi anakuja kwa kasi....
Kuna yule msukuma alikua anaripoti kutoka geita Cosmas Makongo naye yupo vizuri.
Sam Mahela anazidisha mbwbwe sana ila yupo vizuri.
Spensa Lameki yupo fresh pia.
Futuna Suleiman safi.
 
Kuna dem humu alisema emanuel buhohela akianza kutangaza eti ye analowa chupi
 
Mnajaribu kuiinua Tv yenu baada ya kufulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…