Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Ufoo saro namkubali sana yule dada, mda mwengine hua namsachi yutube nimsikilize tu
 
Sam mahela safi ila kaparatu na spensa lamerk wanaboa sana kwenye marumbano ya hoja
 
Hapa atatajwa kila mtangazaji uwe unaweka majina machache yapigiwe kura
 
hemed kivuyo
bila ubishi taarifa ya habari ya kituo cha itv ya saa 2 usiku kila siku ndio inayoongoza kwa kuwa na watazamaji wengi hapa nchini kuliko ya vituo vingine vya televison, sasa je ni reporter gani anakuvutia pale anaporipoti habari yake? mimi navutiwa na Mabere Makubi na Fortuna Suleiman.

Naomba tunapochangia tutaje reporters na sio watangazaji.
 
R.I.P REHEMA MWAKANGALE
Daaah umenikumbusha huyu dada nilikuwa nampenda sana kwa kila kitu kuanzia utangazaji wake, sauti yake na muonekano wake..... Mungu ampe pumziko la amani huko aliko Rehema Mwakangale...Amina
 
Mimi ITV wananikera kuna ripota wa kenya anaitwa DENISI MSUNDI, sisi hilo jina la MSUNDI kwa kilugha ni tusi yaani linamaanisha UKE au UCHI, sasa anapolisema hilo jina kwa kweli ananiumiza, kama niko na dada au mama hujikuta nkipata aibu, Kama inawezekana atumie jina la tatu au la ukoo kama hilo ni la ukoo basi atumie la baba
 
Huyu mdada wa leo anaesoma taarifa ya habari macho yake lege lege
 
Juma Kapalatu....ni wa Malumbano ya hoja tu na mara moja moja kwenye Habari za saa na Mpayo.
 
Back
Top Bottom