Hakuna reporter huyo itvUFOO SALO...!! Baada ya kunivutia sana nikajikuta nampenda sana. I really love the lady...!!
Tafakari...!!
bila ubishi taarifa ya habari ya kituo cha itv ya saa 2 usiku kila siku ndio inayoongoza kwa kuwa na watazamaji wengi hapa nchini kuliko ya vituo vingine vya televison, sasa je ni reporter gani anakuvutia pale anaporipoti habari yake? mimi navutiwa na Mabere Makubi na Fortuna Suleiman.
Naomba tunapochangia tutaje reporters na sio watangazaji.
Daaah umenikumbusha huyu dada nilikuwa nampenda sana kwa kila kitu kuanzia utangazaji wake, sauti yake na muonekano wake..... Mungu ampe pumziko la amani huko aliko Rehema Mwakangale...AminaR.I.P REHEMA MWAKANGALE
We jamaa we acha kuishi kwa shemeji yako ushakuwa sasaDiva the bawse