Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Shmimu mlacha mtoto wa pale kisangara uyu daaa yale macho tu mimi jamani
 
Habari-Benjamin Mzinga
Reporter-ufoo Saro,reporters wote wawili kutoka Arusha,
Michezo-kuna jamaa anakuja juu anaitwa Hosea
 
Yule wa michezo shabiki wa simba nimemsahau jina, yule msukuma wa dakika 45, jackline silem, yule wa bungeni sijui siku hizi kaotelea wapi
 
Juliet Robert.dada yuko poa sana kipindi cha kipima joto katulia tofauti na jackline silem alikuwa na meza maneno yupo fasta sana kwenye kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…