Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Jackline silemu ananivutia sana aise,Yani huyu binti ananilainisha viungo vyangu vya uzazi
 
Mabele Makubi, presenter.... Fatmu Almasi Nyangassa pamoja na Fahia Middle
 
Rehema Kindole pia duu akianza kuongea nazima kila kitu hadi Friji
 
Back
Top Bottom