Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Julieth Roberts,daaah ananimaliza huyu mdada,Habari si Habari tena kama haikusomwa na yeye..,na hata Dinner si dinner tena nisipomwona yeye.,Msaada kwenye Tuta mwenye namba ya yeye..,aniPM tu awe Wifi n a Shemeji yenu
 
Achana na demu wangu bro. Hapa nasubiri Ray akiteleza tu nampa mtoto life ya maana. Nafahamu ana watoto wawili ila wote nitawafanya wa kwangu. Nampenda sana huyu wife wangu mtarajiwa. Nyamwi popote ulipo siku ukijifanya umepa dwa hasira tuuu tusije laumiana. I love that Woman.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wadau nafikiri tugawe hawa watangazaji kwenye makundi mawili ya TV na Radio. Tuweke mwisho wa kupendekeza mtangazaji bora na mshindi ajulikane kama kuna uwezekano uongozi wa jamii forums umpe cheti kutoka jamii forums kutambua mchango wake.
 
Wazo zuri sana.... tunalifanyia kazi chief
 
Back
Top Bottom