Mtangazaji Hudson Kamoga wa Clouds360 kuteuliwa ukurugenzi?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Nimekutana na taarifa hizi za huyu Kaka'etu kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu.

Zina ukweli wowote au ni propaganda feki tu za mtaani?

Kama ni kweli,
Hongera sana kwake.

Nasema hivi,
muda si mrefu ndugu zangu #Adam_Mchomvu na #Sudi_Brown wakikaza watapata vitengo tu awamu hii,

Maana Maana Hakuna Namna Nyingine Sasa!

Eeeeh!

 
Yule Mzee sjui anatumia jicho gan kuwaona hawa watu na kuwapa uteuzi
 
Yule Mzee sjui anatumia jicho gan kuwaona hawa watu na kuwapa uteuzi
Prezda huwa anaangalia hiko kipindi chao cha asubuhi (alishawahi kuwapigia simu clouds tv 360 ) kwahiyo amemfuatilia akaona labda anatosha.
 
Yule muuza sura atakuwa kasikitika kwenda bush
 
Kwa uelewa wangu mdogo...hizi nafasi za uteuzi kwanza mara nyingi hutokea ndani ya utumishi wa umma..

Na huteuliwa wale watumishi seniors na principals

Ambao huwa na experience ktk managerial level of not less than
10 yrs

With at least master's degree maana kufika usenior ama uprincipal lazima uwe na master's degree

Sasa huyu bwana mi sielewi kama hizo sifa anazo..wenye kujua mtufahamishe
 
Jamaa yuko smart.. hope atafanya kazi vzur
 
Mi nilivo skia mkuu ana sikiliza kipind chao nikajua kwa miaka hii mitano tume umia, hasa we rais gan ana shndwa kurekebisha TBC, asubuhi asubuhi kwenyw Tv ya kina mchomvu na B twangala na kamoga eti huwa ana ipenda sana.

Nchi hii tuna shida kweli.
*nimeingiza feelings za kisiasa
 
Yani mkuu hii nchi ni shamba Bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…