Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Unajuaje km anayo mengi au ameingia mkataba na wauzaji wa hayo magauni awatangazie biashara?Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Muhimu cha kubadili kila siku, na kila mda ni "kufuri"....hayo mengine itakavyokuwaMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Amezoea mambo ya star tv huko usukumani mwanzaMtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
KweliAnayo mengi sema ni aina moja..
Ila tuache utani Ivona kama m cute alivyohamia azam TV Dar ni Dar jamani.
Wakati yupo starTv mie nilikuwa naona kama ana umri wa kustafu.