Mtangazaji Ivona Kamuntu

Mtangazaji Ivona Kamuntu

Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
Unajuaje km anayo mengi au ameingia mkataba na wauzaji wa hayo magauni awatangazie biashara?
 
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
Muhimu cha kubadili kila siku, na kila mda ni "kufuri"....hayo mengine itakavyokuwa
 
Usikute hata chakula anakula cha aina moja....but who cares?
 
huwa anapenda kuvaa nguo za vitenge ambavyo juu mishono ni kama inafanana....ki ukweli huwa anaonekana yuko too informal.
tatizo sio vitenge tatizo mishono anayoshona....mbona wabunge wengi tu wanavaa vitenge na wanapendeza!!! ni kwa sababu wao wanashona kiofisi
 
pengine ni nguo tofauti zinafanana rangi
ila ili la kuchaguliana ngu za kuvaa ni uswhili jaman
 
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
Amezoea mambo ya star tv huko usukumani mwanza
 
Mleta Uzi wewe ni mpuuzi kweli,
Labda nikukumbushe tu kuna watu wanashona nguo ya rangi moja,mtindo mmoja kwa wingi kadiri apendavyo.
Mfano jirani yangu utazitambua siku anafua .
 
Kwani does it make money akivaa nguo moja....NO
Does it loose money kwake....No
If it doesnt make money...it doesnt make sense
If it doesn't loose money kwake....no sense.
Vaa hata magunia mama!!
 
Hii habari bila picha hainogi..

1433663351044-jpg.258123
 
Back
Top Bottom