Mtangazaji Ivona Kamuntu

Kwa nini unadhani alishona moja? Kuna watu wana nguo aina moja kibao kama unavyo muona owner wa Facebook mark zuck....... Nguo yake ni hiyohiyo sio kama anairudia laa anabadili lakini muonekano ni uleule
 
Ww Utakuwa Msukuma Tu, Sisi Shida Yetu Habari Pekee
 
Gauni litakusaidia nn, sisi tunahitaji habari, pongezi sana Ivona kwa umahiri wako wa kusoma habari kwa umahiri mkubwa. Bana matumizi mama achana nao.
 
Napenda tu vile anavyojiamini..!
 
Jamani msema kweli mpenzi wa Mungu....Binti yangu yuko darasa la saba anampenda saana huyu mtangazaji Kamuntu pamoja na Bebi Kabae wa Clouds na anataka kuwaona mubashara.Namuambia mama yake ampeleke pale Azam Tv na Clouds lakini anaogopa.....ipi njia rahisi ya yeye kuwaona....
 
Mkuu isije kuwa Wewe ndio unataka kumuona huyo ivona
 
Anajenga jamani acheni longolongo
 
Huu umbea na uroho mbaya wa kiwango cha Lami.
Kamuambie basi na yule mmiliki wa Facebook abadili nguo.
 
mkeo anazo nguo za kubadili anya time 't' ? change starts at home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…