Mtangazaji Ivona Kamuntu

Unaangalia taarifa au gauni?
Yeye ndiye anaoga na kuamua atavaa nini, usimpangieee
 
Anayo mengi sema ni aina moja..

Ila tuache utani Ivona kama m cute alivyohamia azam TV Dar ni Dar jamani.

Wakati yupo starTv mie nilikuwa naona kama ana umri wa kustafu.


Ha ha ha ha umri wa kustaafu nimecheka haswa
 
Hivi huyu mrembo ameshaolewa? Namkubali sana tangu Star Tv


Atakuwa mke wa mtu tayari check hii ring yake hapo na picha hadi station akiwa anatangaza.

Ila anapendeza kwa vitenghe anatangaza vizuri.

Mfano, nikiwa mida fulani maeneo yanayoshika TV station anayotangaza nilikuwa naangalia hiyo station tu coz nitamuona.

Nahisi yule, Mr.Yahaya, alikuwa pale Star TV na amesoma SAUT Mwanza, ndiye amempendekeza, Ivona naye aje azam TV .

Frankly speaking, She is competent and confident when presenting the news or any other TV shows.

Congrats, Ivona Kamuntu for nice presentation and dressing an African attire (kitenghe )
 

Attachments

  • azam.jpg
    37.1 KB · Views: 94
Kwani uniform zinabadilishwa badilishwa? Hata binti wa shule hupendeza sana kwenye uniform yake.
 
Huyu ni mke wa kijana mwenzetu Raymond Nyamwihula. Tumuheshim kijana mwenzetu na ndoa yake.
Kwa ufupi,Ivona Raymond Kamuntu ni shemeji wetu huyo.
 
Natamani ningekuwa na uwezo ya kuwaambia wamiliki na wasimamizi wa JF kuweka kumbi za watoto ili tuchague cha kusoma na mahali pa kusoma.Gauni la Ivona Kamuntu linakufanya uwe na cha kuandika na Jamii Forum wanaona huo ni uhuru wa habari
 
Kamintu hana exposure kabisa,Yani gauni lake la kitenge ni kurudia tu mavazi,nahisi hata nguo za ndani atakuwa anarudia rudia sana huyu!

Kama kuna mtu amewahi toka naye atujuze kuhusu nguo zake za ndani
 
Kamintu hana exposure kabisa,Yani gauni lake la kitenge ni kurudia tu mavazi,nahisi hata nguo za ndani atakuwa anarudia rudia sana huyu!

Kama kuna mtu amewahi toka naye atujuze kuhusu nguo zake za ndani


"You must be a witch" for the God sake , this is not normal!
 
Unajua kuna ile mtu kupenda kitu fulan so unaweza kuta anayo zaidi ya 5,mbona mm nina Raba zaidi ya 5 sababu ya kuzipenda tuu
 
Azam news hakika mnanipa raha, kuhusu hata wife aliniambia nikapuuza...ila dada akiwa na Gwiji Charles Hilary patamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…